Jump to content

Wq/sw/Virgil van Dijk

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Virgil van Dijk
Virgil van Dijk
Virgil van Dijk

Virgil van Dijk alizaliwa 8 Julai 1991 ni mchezaji wa kulipwa kutoka nchini Uholanzi,ambaye anacheza kama beki wa kati katika klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi. Anachukuliwa kuwa mmoja wa mabeki bora zaidi duniani, Van Dijk anajulikana kwa nguvu zake, uongozi na uwezo wake mkubwa katika mipira ya juu pindi awapo uwanjani.

Nukuu[edit | edit source]

  • Kila hatua ya kazi yangu ilikuwa kazi ngumu.
  • Nadhani ni jambo la muhimu sana katika soka kuamshana na kupeana motisha.
  • Katika soka chochote kinaweza kutokea.