Wq/sw/Therese Bishagara Kagoyire

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Therese Bishagara Kagoyire

Therese Bishagara Kagoyire (25 Desemba 1952 – 8 Julai 2019) alikuwa mwanasiasa wa Rwanda. Kuanzia 2011 hadi 2019, alihudumu kama mjumbe wa Seneti ya Rwanda. Alikuwa mwanachama wa Rwandan patriotic front (RPF).

Nukuu[edit | edit source]

  • Alishiriki katika Mapambano ya Ukombozi na aliporejea Rwanda aliendelea kufanya kazi kwa bidii katika kazi ngumu alizopewa. Alisema katika sherehe za mazishi yake.