Wq/sw/Suzanne Mukayijore

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Suzanne Mukayijore

Suzanne Mukayijore ni mwanasiasa kutoka Rwanda kutoka chama cha Liberal. Anawakilisha Mkoa wa Kaskazini katika Baraza la Manaibu

NUKUU[edit | edit source]

  • Aliahidi kuheshimu imani iliyokuwa nayo Baraza la Manaibu kwake kwa kutekeleza vyema majukumu yake na kuhakikisha anashirikiana vyema na wenzake ili kuchangia maendeleo ya Afrika [1] [2]