Wq/sw/Samia Suluhu Hassan

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Samia Suluhu Hassan
Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Samia Suluhu Hassan (alizaliwa 27 Januari 1960) ni Rais wa 6 wa Tanzania na mwanachama wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi.

Nukuu[edit | edit source]

  • Na hii ndiyo sifa na uzuri wa Tanzania. Pamoja na tofauti zetu za dini, kabila, rangi ama itikadi; tumekuwa tukishirikiana kwenye masuala mbalimbali. Nimefurahi kuona kwenye Baraza hili la Iddi wapo pia viongozi wa dini nyingine. Hatuna budi kuendeleza utamaduni huu ambao tumerithishwa na Waasisi wa Taifa letu.
    • Sherehe za Baraza za Eid El-Fitr Kitaifa Dar es Salaam, Tarehe 14 Mei, 2021.