Wq/sw/Roberto Firmino

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Roberto Firmino
Roberto Firmino na Al-Ahli.

Roberto Firmino Barbosa (alizaliwa 2 Oktoba 1991) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anachezea klabu ya Al-Ahli ya Ligi ya Saudia Arabia na timu ya taifa ya Brazil. Ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza kama kiungo mshambuliaji, mfungaji na winga wa kushoto.

Nukuu[edit | edit source]

  • Kazi yangu ni kusaidia timu, na kwa hivyo napenda kuchukua mipira zaidi kama ninavyopenda kufunga au kucheza pasi za mwisho za kutengeneza mabao.
  • Ninaipenda Liverpool - ni jiji zuri sana kuishi.
  • Nimezoea kucheza kwa presha. Ndivyo sisi, kama wachezaji, tunatakiwa kuwa hivyo. Ikiwa hupendi presha, basi soka sio lako.