Wq/sw/Patrice Lumumba

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Patrice Lumumba
Picha halisi ya Patrice E. Lumumba.

Patrice Émery Lumumba (2 Julai 1925 – 17 Januari 1961) alikuwa mwanasiasa na kiongozi wa uhuru wa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mwaka wa 1958 alikuwa miongoni mwa waanzishaji wa Chama cha Taifa la Kongo (kwa Kifaransa: Mouvement National Congolais).

Nukuu[edit | edit source]

  • Utambuzi wa ukomo wa muda ni jambo zuri. Haijalishi wewe ni mchezaji mzuri kiasi gani, kuna muda itakubidi ushuke jukwaani.

Viungo vya nje[edit | edit source]