Wq/sw/Open Space Tanzania
Appearance
Open Space Tanzania (OST): Ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania, lenye kuwawezesha vijana kupitia ufikiaji wa maarifa na kuleta uwazi kwa mustakabali mzuri wa baadaye. Linatoa elimu na kushiriki habari bila malipo (bure), ikijumuisha maudhui na data. Iilianzishwa na Bw. MAGOIGA na kuzinduliwa rasmi tarehe 15/07/2023 mkoani Dodoma- Tanzania kwenye ukumbi wa Hoteli ya Madland.
Dhamira
[edit | edit source]Open Space Tanzania ni Shirika lisilo la kiserikali lenye dhamira ya kuwawezesha na kuwashirikisha vijana nchini tanzania kukusanya na kuendeleza maudhui ya elimu chini ya leseni ya bure na kuyashiriki (share) kimataifa.
Inazingatia
[edit | edit source]- Hatua ya mabadiliko ya hali ya hewa
- Usawa wa kijinsia
- Elimu
- Uwezeshaji wa jamii