Wq/sw/Olaoluwa Abagun

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Olaoluwa Abagun

Olaoluwa Abagun ( 24 Agosti 1992 ) Olaoluwa Abagun ni mwanasheria wa Nigeria na mwanaharakati wa haki za wanawake. Abagun alizaliwa Lagos Nigeria. Abagun alizaliwa katika familia yenye dini nyingi ambapo baba ni Mwislamu, huku mama yake akiwa Mkristo. Ni mtoto pekee wa kike kati ya watoto wanne wa wazazi wake. Katika makuzi yake ya utotoni alilelewa sawa na kaka zake.

Nukuu[edit | edit source]