Wq/sw/Nancy Sumari

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Nancy Sumari

Nancy Sumari (alizaliwa 7 Agosti 1986) alikuwa mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2005 na Mrembo wa Dunia wa Afrika kwa mwaka 2005.

Nancy Sumarializaliwa mkoani Arusha Tanzania, akiwa mtoto wa tatu katika familia ya Abraham Simango Sumari, akiwa na dada yake Glory aliyekuwa anampa hamasa na ushauri zaidi juu ya masuala ya urembo. Ndugu zake wengine katika ukoo wao ni Devis, Patra, Tumo na Nakaaya Sumari.

Alipata elimu yake ya msingi mjini Nairobi, Kenya katika shule ya msingi ya Blue Bells. Baadaye kuingia elimu ya Sekondari ya wanawake ya Maasai ya huko huko Nairobi ’NBO’ na kuhitimu mwaka 2004 na baadae kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam akisomea masuala ya utawala wa biashara.

Nukuu[edit | edit source]

  • Mimi ni kiongozi mtumishi, ninaleta athari kupitia vyombo vya habari, fasihi na sekta ya teknolojia.

Viungo vya nje[edit | edit source]