Wq/sw/Meena Ally

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Meena Ally

Meena Ally (alizaliwa Tanzania, 13 Mei 1993) ni mtayarishaji na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni , mwigizaji Alianza kujihusisha na kazi za utangazaji wa vipindi kadhaa vya TV katika kituo cha Televisheni ya Afrika Mashariki (EATV) jijini Dar es Salaam kutoka 2011 hadi 2014.

Alitangaza kipindi kiitwacho Uswazi katika Televisheni ya Afrika Mashariki (EATV), kipindi hicho huonesha maisha halisi ya uswahilini huku kikiongelea mada mbalimbali za kuelimisha jamii kwa ujumla.[1]

Nukuu[edit | edit source]

  • Meena Ally
    • kila mwanamke ana haki ya kuishi bila udhalilishaji, bila ukatili wa aina yoyote
  • Meena Ally [1]


Viungo vya ndani[edit | edit source]

  1. https://sw.wikipedia.org/wiki/Meena_Ally