Wq/sw/Margaret Nyagahura

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Margaret Nyagahura

Margaret Nyagahura alikuwa seneta wa Rwanda katika bunge la Rwanda. Nyagahura aliteuliwa na Paul Kagame, Rais wa Rwanda.

Nukuu[edit | edit source]

  • Hilo ndilo hasa lililotufikisha hapa, kuelewa matatizo kisha kuanza utetezi pale inapobidi ambapo tunatarajia utetezi huo utazaa matunda na baadhi ya matatizo haya yatashughulikiwa.