Wq/sw/Lucilla Andrews

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Lucilla Andrews

Lucilla Andrews alizaliwa tar 20 Novemba mwaka 1919 na kufariki tar 3 Oktoba mwaka 2006, alikuwa mwandishi Mwingereza na mwanachama mwanzilishi wa Chama cha Waandishi wa Riwaya za Kimapenzi. Pia ameandika chini ya kalamu majina Diana Gordon na Joanna Marcus.

Nukuu[edit | edit source]

  • Ilikuwa kejeli kwamba hata ushindi wangu mdogo haukuhusishwa na mimi.
    • Hadithi ya Pippa, iliyonukuliwa kutoka tar 29 Juni mwaka 1968 Woman's Weekly, p. 17

Viungo vya Nje[edit | edit source]