Wq/sw/Kalpana Chawla
Appearance
Kalpana Chawla (amezaliwa Machi 17, mwaka 1962-Februari 1, mwaka 2003) alikuwa mwanaanga wa Kiamerika na mtaalamu wa misheni ya angani mzaliwa wa Kihindi. Alikuwa mmoja wa wafanyakazi saba waliokufa ndani ya maafa ya Shuttle ya Clombia wakati wa misheni ya STS-107 wakati meli hiyo iliposambaratika ilipoingia tena kwenye angahewa ya Dunia.
Nukuu
[edit | edit source]- Ningesema ikiwa unaota ndoto, ifuate.