Wq/sw/Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo ni mwanasiasa Mtanzania na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT).[1]
Nukuu[edit | edit source]
- Wanawake tafuteni baraka zenu wenyewe, Mungu tayari amembariki kila mmoja wetu na karama yake ili iwe baraka kwa maskini wote.