Wq/sw/John Magufuli

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > John Magufuli
John Magufuli 2015

John Pombe Joseph Magufuli (29 Oktoba 1959 - 17 Machi 2021) alikuwa rais wa tano wa Tanzania, akitokea katika chama cha Mapinduzi CCM. Aliongoza kwa muda wa miaka mitano na nusu hadi kifo chake[1].

Nukuu[edit | edit source]

  • Nataka niwaeleze ndugu zangu, serikali hii ya awamu ya tano ipo pamoja na nyinyi, haitowatupa wala haitowabagua, haitowabagua kwa dini zenu haitowabagua kwa makabila yenu na kamwe haitowabagua kwa sababu ya vyama vyenu.
  1. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mabeyo-asimulia-kabla-baada-kifo-cha-magufuli-4558824