Wq/sw/Jakaya Kikwete

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Jakaya Kikwete
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete

Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa rais wa nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu tarehe 21 Desemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.

Nukuu[edit | edit source]

  • Watu wanaojaribu kutafuta madaraka kwa kutoa rushwa, hawafai na wanastahili kuchukuliwa hatua kali

Viungo vya nje[edit | edit source]