Jump to content

Wq/sw/Halima Mdee

From Wikimedia Incubator
< Wq | sw
Wq > sw > Halima Mdee

Halima Mdee (alizaliwa Makanya, Wilaya ya Same[1], mkoa wa Kilimanjaro[2], 18 Machi 1978). Ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la Tanzania[3]


Nukuu

[edit | edit source]
  • Halima Mdee
    • “Siasa inaweza kuwa mchezo mchafu pale inapoingiliwa na watu wenye nia mbaya. Katika mazingira safi ya watu kufanya siasa wakiwa na malengo na nia safi hapo ni vigumu kuona siasa ni mchezo mchafu.”

Viungo vya ndani

[edit | edit source]
  1. https://sw.wikipedia.org/wiki/Wilaya_ya_Same
  2. https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa_wa_Kilimanjaro
  3. https://en.wikipedia.org/wiki/National_Assembly_(Tanzania)