Wq/sw/Francine Tumushime

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Francine Tumushime

Francine Tumushime ni mwanasiasa wa Rwanda ambaye anahudumu kama waziri wa ardhi na misitu (Minilaf), tangu tarehe 31 Agosti 2017. Mheshimiwa Francine Tumushime aliteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi na Misitu tangu tarehe 30 Agosti 2017, akiwa na dhamira ya kuhakikisha ulinzi endelevu, uhifadhi na maendeleo ya sekta ya ardhi na misitu.

NUKUU[edit | edit source]

Rwanda imeanza kampeni ya kupunguza matumizi ya kuni kwaajiri kupikia huku ikikuza teknolojia nyingine kama vile gesi na majiko ya kuokoa nishati ili kupunguza ukataji miti [1]