Wq/sw/Fatma Karume

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Fatma Karume
Fatma Karume

Fatma Karume(amezaliwa 15 Juni 1969) ni mwanasheria[1] wa Kitanzania[2] na wakili wa kujitegemea, mwanaharakati ambaye aliwahi kuwa rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019. Alipata wadhifa huo baada ya kushinda katika uchaguzi wa uraisi wa chama hicho uliofanyika Aprili 2018 na hivyo kumrithi mtangulizi wake Tundu Lissu[3] aliyekiongoza chama hicho kutoka mwaka 2017 hadi 2018.

Nukuu[edit | edit source]

viungo vya Ndani[edit | edit source]

  1. https://sw.wikipedia.org/wiki/Mwanasheria
  2. https://sw.wikipedia.org/wiki/Tanzania
  3. https://sw.wikipedia.org/wiki/Tundu_Lissu