Jump to content

Wq/sw/Diogo Jota

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Diogo Jota
Picha ya Diogo Jota

Diogo José Teixeira da Silva, anajulikana kama Diogo Jota, alizaliwa 4 Desemba 1996 ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anacheza katika klabu iiliyopo katika ligi kuu ya Uingereza iitwayo Wolverhampton Wanderers.

Nukuu[edit | edit source]

  • Wakati mwingine unajaribu tu vitu na vinatokea.
  • Huko Ureno walikuwa wakisema kuwa jambo gumu zaidi si kufika sehemu fulani, bali kubaki huko. Kwa hivyo hiyo bila shaka ndio lengo langu. Kwa kuwa sasa nimefanikiwa kuhamia Liverpool nataka kuwa na ushawishi mkubwa katika klabu hii na ndivyo ninavyojaribu kufanya kila siku.
  • Cristiano Ronaldo alikuwa shujaa wangu.