Jump to content

Wq/sw/Deborah Mayo

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Deborah Mayo

Deborah G. Mayo ni msomi na mwandishi wa nchini Marekani. Pia ni profesa katika idara ya falsafa katika chuo cha Virginia Tech na ana miafi ya kutembelea katika kituo cha falsafa ya asili na jamii ya shule ya uchumi ya London.

Nukuu[edit | edit source]

katika “Ethics and Animals” kilichohaririwa na Harlan B. Miller na William H. Williams (Cliftob, NJ: Human Presa, 1983), uk. 339-360. ISBN 978-0-89603-053-4

  • Kosa la kuwaonyesha wakosoaji wa majaribio ya wanyama kuwa dhidi ya sayansi huwa wazi mtu anapoanza kutilia shaka ni kwa kiwango gani malengo malengo ya kisayansi yanayodaiwa majaribio haya yanatimizwa. Kwani inageuka kuwa majaribio na sio wakosoaji wao sio ya kisayansi. Uk. 340