Wq/sw/Boineelo Hardy

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Boineelo Hardy

Boineelo Hardy ni msimamizi wa michezo, mtangazaji wa redio ya Yarona FM, mtangazaji wa TV na mwanariadha wa zamani. Daima ametamani kuwa msomaji wa habari, kwani anapenda kusoma chochote na anafurahia kuweza kumfahamisha watu ukweli. Anahusika kama Mhariri wa Michezo na Habari. Alimaliza Diploma katika chuo cha London academy of Media,Film and Television.

Nukuu[edit | edit source]

  • Mpira wa Kikapu kwa ajili ya ubora unamaanisha kutumia mpira wa kikapu hadi mwisho mzuri. Mpira wa kikapu ni mchezo lakini ni zaidi ya kufika tu uwanjani na kufanya kila unachoweza kufanya ili kushinda.