Wq/sw/Amaarae

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Amaarae

Ama Serwah Genfi (4 Julai 1994) Ama Serwah Genfi, anayejulikana kitaaluma kama Amaarae, ni mwimbaji wa Ghana anayejulikana kwa kazi yake ya uwakilishi wa jinsia na rangi katika muziki. Baada ya kushirikiana na wasanii wa nchini kwake na kutoa nyimbo chache zisizo za albamu, alitoa EP yake ya kwanza iitwayo Passionfruit Summers aliyoitoa mwaka wa 2017.

Nukuu[edit | edit source]

  • "Lazima uangalie sanaa yako kama bidhaa, na lazima uelewe jinsi ulimwengu wa biashara unavyofanya kazi. Vinginevyo, inaweza kuacha ladha chungu kinywani mwako, na kukuacha ukiwa umekata tamaa kabisa.”
  • "Kama binadamu, unabaki na haki ya uhuru wako - kiakili, kimwili, kihisia, kifedha, kijinsia, n.k. Kama vijana wakiafrika tumekuzwa na maadili yetu ya msingi bila hofu."
  1. https://www.thelineofbestfit.com/features/interviews/amaarae-on-the-rise
  2. https://web.archive.org/web/20230326184841/https://www.wizkidnews.net/post/artist-aux-interview-amaarae