Wq/sw/Ali Kiba

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Ali Kiba
Ali Kiba akitumbuiza jukwaani

Ali Salehe Kiba (anafahamika zaidi kwa Jina la kisanii jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa mkoani Iringa, 26 Novemba 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo yake ya King's Music records na lebo aliyokuwa akiifanyia kazi Rockstar4000, ambayo alikuwa miongoni mwa wamiliki wake.

Nukuu[edit | edit source]