Wq/sw/Ali Khamenei

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Ali Khamenei
Ali Khamenei akitoa hotuba ya siku ya Quds kutoka nyumbani kwake

Sayyid Ali Hosseini Khamenei (kwa Kiajemi: سید علی حسینی خامنه‌ای‎ ; amezaliwa 19 Aprili 1939) ni Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu (rahbar-e enqelāb-e eslāmī) na hivyo mkuu wa kisiasa na kidini nchini Iran. Yupo madarakani tangu mwaka 1989, alipomfuata Ruhollah Khomeini.

Hapo awali alikuwa Rais wa Uajemi kutoka 1981 hadi 1989.

Nukuu[edit | edit source]

  • Suala la haki za binadamu ni mojawapo ya masuala ya msingi sana ya kibinadamu na pia ni moja ya mambo nyeti na yenye utata.
  • Wazo la haki za binadamu kama kanuni ya msingi linaweza kuonekana kuwa msingi katika mafundisho yote ya Uislamu.
  • Mshindi lazima aendeleze uadilifu katika kijamii, aondoe ufisadi na ubaguzi, na asimame dhidi ya njama za kisiasa, kitamaduni na kiuchumi.