Wq/sw/Alexia Mupende

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Alexia Mupende

Alexia Uwera Mupende (17 Novemba 1984 – 8 Januari 2019) alikuwa mwanamitindo, mwigizaji na mtaalamu wa mazoezi ya mwili kutoka Rwanda, ambapo wakati wa uhai wake, alikuwa Meneja Mkuu wa Waka Fitness, mjini Kigali, mji mkuu wa Rwanda. Jioni ya Jumanne, 8 Januari 2019, mwili wa Alexia Uwera Mupende ulipatikana katika moja ya vyumba vya kulala nyumbani kwa babake katika Sekta ya Nyarugunga, Wilaya ya Kicukiro, kitongoji cha jiji la Kigali. Alikuwa amechomwa kisu katika sehem nyingi za mwili wake

NUKUU[edit | edit source]

  • Nipo hapa duniani kwa ajili ya nini, kusudi lake kwa maisha yangu ni nini? Natumai, ninaweza kuitimiza [1]