Jump to content

Wq/sw/Abena Busia

From Wikimedia Incubator
< Wq | sw
Wq > sw > Abena Busia

Abena Pokua Adompim Busia (aliyezaliwa 1953) ni mwandishi wa Ghana, mshairi, mwanafeministi, mhadhiri na mwanadiplomasia. Yeye ni binti wa Waziri mkuu wa zamani wa Ghana Kofi Abrefa Busia, na ni dadake mwigizaji Akosua Busia. Busia ni profesa mshiriki wa fasihi katika Kiingereza, na wa masomo ya wanawake na jinsia katika Chuo Kikuu cha Rutgers. Yeye ni balozi wa Ghana nchini Brazil, aliyeteuliwa mwaka wa 2017, kwa kuidhinishwa na jamhuri nyingine 12 za Amerika kusini.

Nukuu

[edit | edit source]
  • Nilikuja Marekani nikifahamu uafrika wangu, nikifahamu weusi wangu, nikawa na ufahamu wa masomo ya wanawake na nikawa mtetezi wa haki za wanawake.
  • Kufikiria juu ya kile kinachofanya kiongozi, unawasilianaje na unajipanga vipi.