Wq/sw/Jackie Chan

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Jackie Chan
Jackie Chan

Jackie Chan (amezaliwa tarehe 7 Aprili, 1954) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini China.

Nukuu[edit | edit source]

  • Usiruhusu mazingira yakudhibiti. Badilisha mazingira yako.
  • Biashara ya filamu ni kamari kubwa.
  • Ninapompa mtu kitu na kuiona sura yake, nafurahi sana
  • Ninapokuwa na msongo wa mawazo, napendelea kutazama sinema za Bruce Lee. Huwa najifunza kila kitu kutoka kwake.
  • Ninapenda sana watoto kutazama sinema zangu.
  • Maisha ya mwigizaji ni marefu sana.
  • Nina sheria chache ambazo ninamwambia meneja wangu: Hakuna matukio ya ngono. Hakuna kufanya mapenzi. Watoto wanaonipenda hawahitaji kuiona. Ingewamaliza.
  • [Kuhusu urais wa Donald Trump] Mpe tu nafasi ya kujaribu kubadilisha Marekani na kubadilisha ulimwengu. Yeye ni mfanyabiashara ... Nadhani anajua jinsi ya kushughulikia aina hizi za mambo