Wq/sw/Gérardine Mukeshimana

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Gérardine Mukeshimana

Gérardine Mukeshimana , ni mwanasayansi na mwanasiasa kutoka Rwanda ambaye amehudumu kama Waziri wa Kilimo na Rasilimali za Wanyama tangu Julai 2014.

NUKUU[edit | edit source]

  • Sekta ya kilimo ya Rwanda imeonyesha ujasiri katika kukabiliana na janga hili. japokuwa, sekta hiyo itahitaji msukumo sahihi ili kutambua uwezo wake kamili [1]