Wq/sw/Mathilde Mukantabana

From Wikimedia Incubator
< Wq‎ | sw
Wq > sw > Mathilde Mukantabana

Mathilde Mukantabana (alizaliwa 1958) ni mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Rwanda aliyezaliwa Butare, kwa sasa anafanya kazi kama balozi wa Rwanda nchini Marekani na Balozi asiye mkazi wa Mexico, Brazili na Argentina. Yeye ni Rais na mwanzilishi mwenza wa Shirika lisilo la faida la Friends of Rwanda Association (F.O.R.A.).

NUKUU[edit | edit source]

  • Tunahitaji tu kubadili jambo moja: ni kanuni za kijamii. Watoto hujifunza kutoka kwa wazazi wao, jinsi utakavyo mtendea mke wako ndivyo mtoto wako wa kiume atakavyo mtendea mke wake [1]
  • Nchini Rwanda, tumeondoa vikwazo vyote ambavyo wanawake walikuwa wakikabiliana navyo. Wanawake wamejumuishwa katika sekta mbalimbali hata katika Serikali na uwezeshaji wa kiuchumi [2]